Wafuja mamilioni

Ufisadi wa fedha za kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari vilivyobuniwa na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, ndio uliomfanya Rais John Magufuli, amng’oe kwenye nafasi hiyo, JAMHURI limebaini. Mradi huo ulibuniwa na Luoga kwa kigezo cha kuongeza kipato cha wananchi wa wilaya hiyo wasiokuwa na zao la biashara, kwani bila mradi wa…

Read More

‘Wapigaji’ ATCL wadakwa

Je, una akaunti ya benki nje ya nchi? Umewahi kujiuliza kuhusu usalama wa kadi yako? Hebu fanya mpango ukague kadi yako na ujiridhishe kama haijadukuliwa na fedha zako kutumika kulipa huduma ambazo hukuzitumia. Mtandao unaojihusisha na matumizi ya kadi za benki za wizi katika ununuzi wa bidhaa na huduma umefikia tamati kwa kudhibitiwa na uongozi…

Read More

Waliofuja KNCU hawatapona – Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali inaendelea na uhakiki wa mali zote za Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) na kuonya kuwa hakuna atakayepona kwa wale wote watakaobainika kufuja mali za chama hicho kikongwe nchini. Baadhi ya viongozi wa chama hicho wamefikishwa kwenye vyombo vya sheria na kufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi. “Mwaka…

Read More

Wananchi waitunishia Serikali msuli

Mvutano umeibuka kati ya serikali na wakazi wa Kata ya Nyatwari, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara baada ya wananchi hao kutakiwa kuhama huku wao wakipinga amri hiyo. Wananchi hao wametakiwa kuondoka kwenye kata hiyo ili kupisha njia ya wanyama wanaotoka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwenda kunywa maji Ziwa Victoria. Februari 21, mwaka huu, mamia…

Read More

Tuongeze uwekezaji elimu

Kwa muda sasa tunapata taarifa kutoka sehemu mbalimbali za nchi juu ya uhaba wa vyumba vya madarasa kwa watoto walioshinda mtihani wa darasa la saba kwenda kidato cha kwanza mwaka 2018. Malalamiko ya ukosefu wa vyumba vya madarasa yameanza kujitokeza si tu katika ngazi ya sekondari, bali hata ngazi ya shule za msingi. Kwa mfano…

Read More

NINA NDOTO (8)

‘Tumezaliwa kwa ajili ya wengine’   Hapo zamani za kale kulikuwa na mkulima aliyenunua vibuyu viwili vya kutekea maji. Baadaye alikuja kugundua kwamba kibuyu kimoja kilikuwa kimetoboka sehemu ya chini. Mkulima huyo alizoea kutekea vibuyu hivyo maji kutoka mtoni na kuyapeleka mjini kwake. Kibuyu kilichokuwa kimetoboka kilimwaga maji njia nzima, hivyo kilijiona hakifai. Kibuyu kingine…

Read More