Month: April 2019
NINA NDOTO (14)
Muda ni mali, utumie vizuri Watu wanaoishi ndoto zao ni wazuri sana katika suala linalohusu matumizi ya muda. Muda ni mali, utumie vizuri. Wakati mwingine utasikia watu wakisema muda ni pesa, lakini kwangu mimi jambo hilo ni la tofauti…
Jaji azuia waandishi kuripoti kesi ya mauaji
Jaji Firmin Matogolo anayesikiliza shauri la mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica ya Himo, Humphrey Makundi, ameingia kwenye mvutano na waandishi wa habari wanaoripoti kesi hiyo baada ya kuwapiga marufuku kutonukuu chochote juu ya mwenendo wa…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (9)
Mpendwa msomaji, leo ni siku nyingine tunapokutana hapa. Nikiri wiki iliyopita nilihitimisha makala hii na maneno haya: “Mwisho, nawaomba wasomaji wangu, mniruhusu nisiwe ninawajibu maswali yenu kwa sasa kwani ni mengi. Nikiingia katika kujibu maswali hayo kama nilivyofanya leo, hakika…
Kamali hatari kwa wanafunzi
Michezo ya kamali hapa nchini licha ya kuwa inaendeshwa kwa mujibu wa sheria chini ya usimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), imeendelea kuathiri taifa kwa namna mbalimbali hasa vijana. Nitakijikita kwa wanafunzi ambao ndio tegemeo la taifa…
Migogoro ya TANAPA, vijiji 390 kuwa historia
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), Dk. Allan Kijazi, amezungumza na JAMHURI kuhusu mafanikio yaliyopatikana kwa kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano. Ifuatayo ni sehemu ya pili ya mahojiano ya Dk. Kijazi…
Vigogo wahatarisha mradi mabasi ya mwendokasi
Msongamano wa abiria wanaotumia usafiri wa mabasi ya haraka jijini Dar es Salaam maarufu kama (mwendokasi) kwa kiasi kikubwa unatokana na uzito wa kufanya uamuzi miongoni mwa watendaji serikalini. Hali ya kuchelewa kufanya uamuzi inakinzana na kasi ya Rais Dk….