Month: April 2019
Ndugu Rais, kati ya nguo na pasi kipi kinapigwa pasi?
Ndugu Rais, tunasoma katika kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu kuwa: “Wananchi wanataka rais awathamini raia waandamizi waliokamilisha wajibu wao na kustaafu katika ujenzi wa taifa ili wasipate shida katika wakati wao wa kutokuwa na nguvu za kuendelea kujikimu. Hivi…
Wanasiasa si wenzetu
Wanasiasa siyo wenzetu kwa maana nyingi tu, na siyo kwa sababu tu ya kuitwa waheshimiwa. Kwanza, ni watu wenye kujiamini, wenye imani inayoambatana na uwezo mkubwa wa kusikia maoni tofauti kabisa na ya kwao, lakini wakaendelea kushikilia msimamo kuwa wanachofanya…
Epuka kuishi maisha ya majivuno
Majivuno yaliwabadili malaika wakawa mashetani. Unyenyekevu huwafanya watu wawe kama malaika – Mt. Augustino. Kitendawili: Tega! ‘Ananifanya nichukiwe na kila mtu’. Jibu ni ‘majivuno’. Kitendawili: Tega! ‘Nikimmeza najisikia sana’. Jibu ni ‘majivuno’. Majivuno ni jeraha lisiloponyeka katika maisha. Majivuno ni…
MAISHA NI MTIHANI (23)
Kataa kujikataa Kukataa kujikataa ni mtihani. Kujikataa ni kujihisi wewe si mtu muhimu. Ukweli wewe ni mtu muhimu. “Kukosa kitu cha kukufanya ujisikie wewe ni mtu muhimu ni jambo liletalo huzuni mkubwa sana, ambalo mtu anaweza kuwa nalo,” alisema Arthur…
Hongera Ridhiwani, umeonyesha njia
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amefanya jambo lenye manufaa makubwa kwa wanafunzi wa kike jimboni mwake na kwa taifa. Amesimamia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika Shule ya Sekondari Mboga, iliyopo Kata ya Msoga mkoani Pwani. Amesukumwa na azima yake…
Ushabiki na ushabaki havitangamani
Shabiki na shabaki ni kama watoto wawili pacha. Ukikutana na shabiki utawaza umekutana na shabaki, na ukikutana na shabaki utaona umekutana na shabiki. Kumbe sivyo. Ni watu wawili wenye hulka na tabia tofauti. Wa kwanza ni mkweli na wa pili…