Day: June 25, 2019
Yah: Ulinzi shirikishi ni laana?
Kuna wakati huwa naamini hakuna sababu ya kupeana salamu kutokana na matukio yanayotokea, kwa kawaida salamu anapewa mtu muungwana na anayepokea ni muungwana, lakini sasa hivi unaweza kutoa salamu ndiyo ukawa mwanzo wa kukaribisha nyoka katika mwili wako, kwa maana…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (3)
Wiki iliyopita hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Mwanzoni nilimwona akiwa na urefu wa kawaida, lakini kadiri tulivyokaribiana alizidi kurefuka. Alikuwa anaongezeka mita moja kila hatua aliyopiga. Na baadaye nyayo za miguu yake zikawa zimeziba barabara kwa ukubwa wake, nikaogopa…
Viungo Stars mhh…
Taifa Stars imeanza vibaya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa kukubali kipigo cha magoli 2-0 dhidi ya Senegal (Simba wa Teranga) katika dimba la Juni 30, jijini Cairo, Misri. Goli la kwanza la Senegal lilifungwa na Keita…