JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2019

Mwana wa Afrika ametutoka

Kwa mara nyingine Bara la Afrika limeondokewa na mwanamapinduzi jasiri, mpiganaji na mtetezi wa haki na mali za Waafrika. Kiongozi shupavu na mkweli, aliyebeba uzalendo na mwenye msimamo katika hoja na maono yake. Ni kiboko cha mabeberu wa nchi za…

Yah: Historia hujirudia ni laana

Nianze na salamu za pole kwa wenzetu wote, hasa Waafrika ambao wako Kusini mwa bara hili, ambao wamekumbwa na mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama vile wanaowaua wanatoka nje ya Afrika na hawana undugu nao, yaani leo wamesahau waliishije enzi…

BURIANI MZALENDO PAUL NDOBHO

Mbunge aliyemshinda Mwalimu Nyerere Paul James Casmir Ndobho alifariki dunia Jumapili, Septemba 8, 2019, saa mbili usiku katika Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Kwa bahati mbaya sana, kifo chake hakikutangazwa na kupewa uzito unaostahili ambao ungeakisi mchango…

Msondo Ngoma ilikotoka (2)

Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo Gurumo alipofika katika bendi hiyo akawa kiongozi wa bendi sambamba na kuasisi mtindo wa ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’. Mtindo huo ni wa asili ya ngoma za Kizaramo. Muda mfupi, Hassan Bichuka, naye aliondoka katika bendi…

Samatta kuweka historia UEFA

Pazia la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) linafunguliwa rasmi leo kwa msimu wa 2019/2020 ambapo timu 16 zitakuwa uwanjani zikipepetana na nyingine idadi sawa na hiyo zitapambana kesho katika hatua ya kwanza ya kutafuta bingwa. Katika Ligi ya Mabingwa…

Waziri aharibu

Mchakato wa kumpata Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Nishati na Maji (EWURA) umedumu kwa miaka miwili sasa, huku Waziri wa Maji akitajwa kuwa chanzo cha mkwamo huo. Wakati Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa, akitajwa kuwa chanzo kutokana…