JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2019

Haijapata kutokea!

Ule usemi kuwa ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni nadhani una mantiki. Duniani mishangao inatokea kila leo. Nani alifikiria mwanasiasa kama Nape Nnauye atakuja kuomba msamaha? Kwa kosa lipi? Na kwa dhamira gani? Mimi nilipigwa butwaa pale jioni Jumanne ya…

Tusilazimishwe kumshutumu Robert Gabriel Mugabe

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amefariki akiwa na umri wa miaka 95. Alisemwa na atasemwa sana, si kwa mema ila kwa mabaya. Nianze na mabaya yake. Aliongoza Zimbabwe kuanzia mwaka 1980 baada ya uhuru wa nchi hiyo akiwa amerithi uchumi…

Ukweli kesi ya Mzungu na Airbus yetu (2)

Toleo lililopita tuliishia aya isemayo: “Mahakama ilikubali hoja hii ya Wakili Erick na kumpa ushindi kwa hoja hii. Kumbuka huyu Erick ndiye anayetajwa kuongoza mchakato wa kuzuiwa kwa Airbus Afrika Kusini.” Sasa endelea… Kukamatwa ndege Baada ya maombi ya serikali kutupwa kama…

MAISHA NI MTIHANI (46)

Ukibadili maana ya maisha unabadili maisha yako Maana ya maisha ni mtihani. Ukiyapa maisha maana ya kuishi, utabadili maisha yako. Maisha ni kuishi. “Tunaishi mara moja, lakini mara moja ukiitendea haki inatosha,” alisema Joe E. Lewis. “Ukitaka kuaga dunia ukiwa…

Mafanikio katika akili yangu

Hiki ni kitabu ambacho kimesheheni matumaini, motisha pamoja na hamasa kwa vijana ambao waliona uthubutu katika maisha yao. Mwandishi ameamua kufikisha ujumbe kwa vijana ili kuwapa moyo na faraja, pia kitabu hiki kimezungumzia maisha halisi ya mwandishi wa kitabu hiki….

Bado machozi ya wanyonge ni mengi

Wiki kadhaa zilizopita Rais John Magufuli alitoa kauli nzuri yenye kuleta matumaini kwa waliopoteza au walioelekea kupoteza matumaini. Julai 18, mwaka huu, akiwa Kongwa mkoani Dodoma, alitamka maneno haya: “Mlinichagua kwa ajili ya watu wote, hasa wanyonge wanaopata shida. Siwezi nikatawala…