JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: November 2019

KIJANA WA MAARIFA (1)

Dunia inatawaliwa na wenye maarifa Tupo katika kipindi ambacho kuwa na maarifa ni jambo muhimu mno. Dunia ya sasa inatawaliwa na watu wenye maarifa. Bila kuwa na maarifa utajiweka katika wakati mgumu sana. Maarifa yatakufanya uongoze kila unapokwenda. Maarifa yatakufanya…

Mikopo elimu ya juu si hisani

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imekwisha kutoa awamu mbili za mikopo kwa baadhi ya wanafunzi walioomba. Mwaka huu wa fedha wa 2019/2020 Sh bilioni 450 zimetengwa kwa ajili ya mikopo kwa wanafunzi wanaoanza mwaka wa…

Ana kwa ana na Rais Nyerere (4)

Swali:  Unasema kuwa umma hauna nguvu hasa, hii ni kweli, lakini pia ni hatari kubwa kutoa madaraka kwa umma wakati uongozi hauna imani  na jambo hilo. Mifano ya Obote na Nkrumah na viongozi wengine wa Kiafrika inaonyesha haya wazi. Hii…

Taasisi ya MOI katika kipindi cha miaka 4 ya Rais Magufuli

Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) ni Taasisi pekee bobezi katika matibabu ya Mifupa, ajali, upasuaji wa ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kati. Ikiwa na umri wa miaka 23 Taasisi hii…

MAFANIKIO YA OSHA KATIKA MIAKA MINNE YA JPM

Imetimia miaka minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais, Dk. John Pombe Magufuli, ilipoingia rasmi madarakani.  Sote tutakumbuka kwamba awamu hii ya uongozi iliingia kwa kishindo kikubwa huku ikijipambanua kuwa na nia ya dhati ya kuwainua Watanzania…

Kampuni za simu zawekeza Sh trilioni 6 nchini

Uwekezaji wa kampuni zinazotoa huduma za simu za mikononi umefikia Sh trilioni 6 ambazo zimekuwa na tija kubwa kwa taifa na kuifanya sekta ya mawasiliano kuwa miongoni mwa sekta zinazokua kwa kasi kubwa hapa nchini. Wakati uchumi ukikua kwa asilimia…