Month: January 2020
Diwani aghushi hati ya kiwanja, alamba mkopo milioni 3.3/-
Diwani wa Viti Maalumu (Chadema), Jasimin Meena, anatuhumiwa kughushi nyaraka zilizomwezesha kujipatia mkopo wa Sh milioni 3.3 kutoka taasisi moja ya fedha ijulikanayo kwa jina la Heritage Financing, Tawi la Moshi. Kwa mujibu wa nyaraka ambazo JAMHURI linazo, diwani huyo…
TET, JWTZ wasambaza vitabu Dar
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa magari ambayo yatatumika kusafirisha vitabu vya kiada na kuvisambaza katika halmashauri za Mkoa wa Dar es Salaam chini ya mpango mpya uliobuniwa na kuzinduliwa hivi karibuni na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET). Akizungumza…
Hofu vyombo vya habari mitandaoni yatanda kuelekea Uchaguzi Mkuu
Wadau wa vyombo vya habari wameonyesha wasiwasi wao juu ya wingi wa vyombo vya habari vya mtandaoni visivyo na wahariri na kutoa tahadhari iwapo visipodhibitiwa vinaweza kusababisha makosa ya kimaadili katika Uchaguzi Mkuu ujayo na pengine kuwa chanzo cha uvunjifu…
NIDA ijirekebishe, iende na wakati
Zoezi la usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole na Kitambulisho cha Taifa limeibua uzembe uliofanywa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa kiasi kikubwa watu wengi wameshindwa kusajili laini zao za simu kwa wakati kutokana…
KIJANA WA MAARIFA (11)
Mitandao ya kijamii ni fursa wanayoitumia wachache. Jumamosi ya Januari 11, mwaka huu ilikuwa siku ya furaha kubwa maishani mwangu. Ni siku ambayo nilikuwa nikizindua kitabu changu cha tatu kiitwacho ‘yusufu nina ndoto’, ambacho sasa kipo sokoni. Kabla ya kufanya…
Uamuzi wa Busara (8)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara, tulisoma jinsi wanachama wa Chama cha TANU wanavyojivunia kuimarika kwa chama chao kiasi cha kuvifanya vyama vingine vinavyokipinga kuanza kupukutika. Wiki hii ni mwendelezo wa tulipoishia. Endelea… Kutokana na uamuzi huo…