JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2020

Usanii uendane na ubunifu, tusiige kila kitu

Kwa sasa taifa limekuza vipaji vya usanii, hasa wa muziki. Vijana wamebuni muziki unaojulikana kama muziki wa kizazi kipya. Huu ni aina ya muziki ninaoweza kusema una mambo tofauti na muziki tuliokuwa nao miaka ya nyuma. Ni muziki unaokwenda kwa…

Corona ‘yakamata’ burudani

Si masuala ya uchumi na kijamii tu ambayo yameathiriwa na kuibuka kwa virusi vya corona (COVID-19) duniani, kwani hata masuala ya michezo na burudani nayo yameathirika kwa kiasi kikubwa. Kuibuka kwa ugonjwa huo ulioanza nchini China mwishoni mwa mwaka jana…

Msuva kumfuata Samatta EPL

Mshambuliaji wa Difaa El Jadida ya Morocco, Simon Msuva, ametajwa katika orodha ya mastaa kutoka Afrika Mashariki ambao wanaweza kumfuata Mbwana Samatta katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Samatta aliweka historia mwanzoni mwa mwaka huu kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza…

Corona inavyowatesa wanamichezo duniani

Dunia inatetemeka! Habari kubwa kwa sasa ni juu ya virusi vya corona ambavyo vimetapakaa karibu ulimwengu wote. Havichagui jina wala umaarufu. Wale watu maarufu zaidi nao kwa sasa wamo katika karantini katika mikakati ya kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo. Tuizungumzie…

BRELA yafumuliwa

Menejimenti ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imefumuliwa. Katika mpango mahususi unaotajwa kuwa unalenga kupambana na rushwa, vishoka, utendaji wa mazoea, na kuifanya BRELA ishiriki vilivyo kwenye ujenzi wa uchumi wa taifa, vigogo watano tayari wameondolewa kwenye…

Matapeli wadaiwa kuuza nyumba ya urithi Kariakoo

Mgogoro umeibuka kuhusiana na kiwanja kwenye Kitalu Na. 52, Block 27 katika Mtaa wa Somali, Kariakoo, ambako jengo lenye zaidi ya ghorofa 10 linajengwa. Inadaiwa kuwa mmiliki wa sasa anayejenga jengo hilo alinunua nyumba ambayo ilidhulumiwa kutoka kwa ndugu wa…