Month: March 2020
Nyumbani kuna kasoro gani?
“Kauli yako utoayo mitaani, inanifikia nduguyo Ingawa unafikiri sikufahamu, unitetayo sikia Nakuonya uongo mbona haithamini elewa Unajitangaza u-mtenda mema, mengi kujisifia ya uongo, Watoto wamekukimbia nyumbani, umebaki na wajukuu pia watasambaa. Iliyobaki nitamuliza shemeji, kuna kasoro gani hapo nyumbani. -Aaah! …
Yah: Misukosuko ya kisiasa nchini ni kama 1953
Kuna wakati ambao ninawaza mpaka kichwa kinataka kupasuka, si kwa sababu yanayoendelea siyajui, la hasha! Bali ni kwa sababu yanakwenda kasi mno na kuniacha nikiwa bado njia panda. Maisha ni safari ndefu na ukibarikiwa umri mkubwa unafanikiwa kuyaona mengi na…
Mafanikio katika akili yangu (20)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Mchungaji hawa ndio wanaua vipaji vya watu,’’ alisema Zawadi akiwa anaendelea kuchora. “Ni kweli wamempotezea muda sana Noel, hawakuwa wanamlipa na atakuja kufanya mambo makubwa, watamhitaji zaidi,’’ yalikuwa maneno ya mchungaji akimwambia Zawadi….
Mzungu Kichaa aachia albamu nyingine
Mwanamuzi wa Bongo Fleva mwenye asili ya Ulaya, Mzungu Kichaa, ameachia albamu nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Huyu Nani’ akiendeleza safari yake ya muziki ambayo inatimiza miaka kumi hivi sasa. Akizungumza na Club1Xtra ya jijini Nairobi hivi karibuni kuhusu albamu…
Simba, Yanga zitaibua vipaji?
Aliyemuibua Joseph Yobo hadi akawa mmoja wa wachezaji maarufu nchini Nigeria ni mama mmoja aliyekuwa akishughulika na ukuzaji wa vipaji vya watoto katika Jimbo la River. Alitumia fedha zake mwenyewe kwa miaka mingi, lakini baadaye dunia ikaanza kumfahamu baada ya…
Samatta: Naanza kuwaelewa wenzangu
Mshambuliaji nyota wa Aston Villa, Mbwana Samatta, taratibu ameanza kuuzoea mfumo wa uchezaji wa timu yake mpya. Samatta pia ni nahodha wa Taifa Stars na ni mchezaji wa kwanza Mtanzania kucheza Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Akizungumza hivi karibuni, Samatta…