JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2021

Tuamke, muda unatukimbiza

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nchi imo kwenye majonzi. Ni majonzi makubwa, hasa kwa mashabiki wa soka. Ni juzi tu tumetoka kufungwa mabao 0 – 3 na DRC.  Kipigo hicho hakijaishia kutuumiza mioyo pekee, bali pia kimekatisha ndoto zetu…

Nini hatima ya mishahara hii minono?

DODOMA Na Javius Byarushengo Miongoni mwa nadharia zinazohusiana na chanzo cha uhalifu katika jamii ni ‘nadharia ya migogoro’ (conflict theory).  Nadharia hii inaeleza kuwa tabia potofu ni matokeo ya kutokuwapo usawa wa kiuchumi na kisiasa katika jamii. Wananadharia wanasema migogoro…

Atatoka wapi Mzee Mayega mwingine?

DAR ES SALAAM Na Abdul Saiwaad Katikati ya miaka ya 1980, sikumbuki ilikuwa mwaka gani hasa, nilipofahamishwa kwa Paschally Boniface Mayega. Rafiki yangu aitwaye Kamugisha ndiye aliyenitambulisha.  Tulikutana Posta Mpya ambapo Mayega alikuwa akifanya kazi Idara ya Mauzo ya Simu….

MWAKA MMOJA IKULU Dk. Mwinyi anavyokataa kufukua makaburi 

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Alhamisi Oktoba 29, 2020, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ilimtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Zanzibar, kwa ushindi wa asilimia 76.27 ya kura zilizopigwa. Akizungumza baada ya…

Urusi yageuka tishio kwa mataifa mengine 

Moscow, Russia Na Mwandishi wetu Vita ya maneno inazidi kupamba moto baina ya mataifa tajiri duniani yakigombea mipaka ya taifa la Ukraine. Hali hiyo imezuka baada ya Urusi kuzidisha vikosi vyake vya kijeshi kwenye mipaka ya taifa hilo, jambo ambalo limewaibua…

KUMBUKIZI YA SALUM ABDALLAH… Aliacha duka akatorokea Mombasa 

Mpenzi wangu utaniponza,  Kwa mambo unayoyafanya, Mpenzi unatuchonganisha,  Mimi na yule ni rafiki, Wewe watupambanisha,  Mpenzi utaniumiza. Wajaribu kunidanganya,  wanambia yule wangu mwana, Kumbe pembeni ni wako bwana, Mpenzi utaniumiza, Yule ulisema yule kaka,  Kumbe mafuta ulinipaka, Pembeni huwa hekaheka, …