JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2021

KING ENOCK… Mwalimu wa muziki wa dansi 

TABORA Na Moshy Kiyungi Mzaliwa wa Zambia, Michael Enock, aliyekuja kutambulika baadaye kama ‘King’ au ‘Teacher’, aliingia nchini mwaka 1960 na kuwa nguzo ya muziki wa dansi. Pamoja na sifa kubwa alizokuwa nazo miongoni mwa mashabiki wa muziki na hata…

Gesi Mtwara na mguso kwa jamii ya Lindi

Na Christopher Lilai, Lindi Lindi ni miongoni mwa mikoa ambayo bomba kubwa la gesi asilia itokayo mkoani Mtwara limepita kuelekea Kinyerezi jijini Dar es Salaam.  Kwa kiasi kikubwa gesi hiyo inatumika kufua umeme wa viwandani na majumbani kwa kiasi kidogo….

Hongera DPP, lakini…

Amani ni tunda la haki. Bila haki amani haipo. Bila haki manung’uniko na vilio hutamalaki. Tunaipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kusimamia suala la haki, na kwa namna ya pekee tunaipongeza Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kwa kuonyesha…

Pumzika Kaunda, mkombozi wa kweli

DAR ES SALAAM Na Zitto Kabwe Miaka 10 iliyopita nikiwa nimekaa kwenye jukwaa la wageni waalikwa katika sherehe za uhuru wa Sudan Kusini, nilimwona mzee mmoja akitembea taratibu akiwa amepinda mgongo na kitambaa cheupe mkononi. Alikuwa akitembea uwanjani kuelekea jukwaani…

ASKARI MAGEREZA: ‘Wafungwa huru’ wanaoifia nchi 

DODOMA Na Javius Byarushengo  Ukikutana nao mitaani au kwenye usafiri wa daladala wakiwa wamevaa magwanda yao yenye rangi ya ugoro, unaweza ukahisi ni watu wenye majukumu laini kama ambayo wakati mwingine hayahitaji kuumiza kichwa, lakini watembelee katika maeneo yao ya…

Hatuhitaji wageni kutulisha mafuta ya kula

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Jioni ya Ijumaa Juni 18, 2021 nilitazama televisheni za nchini kwetu; Balozi Ramadhan Dau na Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, wakimtambulisha Ikulu mwekezaji kutoka Malaysia kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Habari ilikuwa kwamba…