JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2022

Kigugumizi cha nini Katiba mpya?

MOROGORO Na Everest Mnyele Wakati mwingine huwa ninajiuliza, nini sababu ya kigugumizi kwa Watanzania, hasa viongozi kuhusu Katiba mpya wakati rasimu tunayo?  Rasimu hiyo imetokana na mawazo au maoni ya wananchi yaliyokusanywa na Tume ya Warioba iliyoteuliwa na Rais wa…

Pumzika Sheikh Abeid Amani Karume

Alhamisi hii Tanzania inafanya kumbukizi ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, mwanamapinduzi Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye sasa anatimiza miaka 50 tangu alipouawa kwa kupigwa risasi Aprili 12, 1972. Huo ndio uliokuwa msiba wa kwanza mzito kwa taifa…

Utaratibu wa kisheria kununua ardhi bila migogoro, utapeli

Na Bashir Yakub Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Ardhi iliyosajiliwa na ambayo haikusajiliwa. Yote maana yake ni viwanja, nyumba na au mashamba. Ardhi iliyosajiliwa ni ile iliyopimwa au maarufu kama ardhi yenye hatimiliki, wakati ambayo haikusajiliwa ni kinyume cha…