Month: April 2022
Flora agusa mamia kwa Fariji Initiatives
DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena Miongoni mwa waimbaji wa Injili wenye mafanikio nchini ni Madam Flora ambaye kwa kupitia nyimbo zake amefanikiwa kubadilisha maisha ya wengi kupitia muziki. Baada ya kugusa mamilioni ya watu kupitia muziki sasa amekuja kivingine…
MSD ilivyoliwa
*Yaingia mikataba ya mabilioni ya fedha bila kufuata taratibu, Mkurugenzi atumbuliwa * Yalipa watumishi watatu posho ya kujikimu ya Sh milioni 215.99 kwenda China kununua mashine *Yailipa kampuni hewa ya Misri mabilioni ya fedha, wapotea bila kuleta dawa nchini *Yadaiwa kununua…
Hali inatisha Kanda ya Ziwa
*Mwaka mmoja wa uvuvi haramu watikisa uchumi, watishia kuliua Ziwa Victoria *Makokoro, nyavu hatari kutoka Uganda, Burundi vyaingizwa kwa fujo *Kidole cha lawama chaelekezwa kwa viongozi wa serikali ngazi ya vijiji *TAFIRI wakiri, watega nyavu kwa saa mbili ziwani na…
Rais Samia wekeza katika gesi
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa aya hizi: “Sitanii, ukurasa umekuwa finyu. Hili la miundombinu nitalidadavua zaidi wiki ijayo. Tunatumia wastani wa Sh trilioni 7 kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi kwa mwaka. Tunaweza kuachana na utumwa…
Compaore afungwa kwa mauaji ya Kapteni Sankara
Na Nizar K Visram Jumanne Aprili 6, mwaka huu, Blaise Compaoré, Rais wa zamani wa Burkina Faso, amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa mauaji ya Thomas Sankara, rais wa nchi hiyo aliyeuawa Oktoba 1987. Hukumu ilitolewa na mahakama ya kijeshi…
Yanga yasaka rekodi ya Simba kimyakimya
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Vinara wa Ligi Kuu, Yanga, wanaisaka kimyakimya rekodi iliyowekwa na Simba miaka 12 iliyopita ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu bila kufungwa. Rekodi hiyo ya Simba ipo hatarini kwa sasa wakati ambao Yanga wanaonekana…