JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2022

BARUA KWA RAIS  Mahabusu: Kisutu Extended inatutesa

Ndugu Mhariri, tunaomba nafasi japo ndogo katika gazeti lako tukufu ili Rais Samia Suluhu Hassan na watendaji wake wafahamu yanayotusibu. Malalamiko yetu ni ya kukaa gerezani kwa muda mrefu katika kesi za mauaji zilizopo Mahakama Kuu upande wa Kisutu Extended…

Tulinde rasilimali za nchi yetu kwa wivu mkubwa

Septemba 1961, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, alitoa ilani iliyokuja kujulikana kama Ilani ya Arusha kuhusu uhifadhi. Alisema: “Kudumisha uhai wa wanyamapori wetu ni suala linalotuhusu sana sisi sote katika Afrika. Viumbe hawa wa porini pamoja na mapori wanamoishi siyo tu kwamba…

Ya Raila 2017 yamkuta Ruto

MOMBASA Na Dukule Injeni Takriban miaka 10 iliyopita Uhuru Kenyatta akiwa kiongozi wa Chama cha TNA aliungana na William Ruto wa URP wakati huo na kuunda muungano wa Jubilee ulioshinda Uchaguzi Mkuu mwaka 2013. Katika moja ya kampeni zao, Kenyatta,…

Wadau wataka maboresho Sheria ya Habari

Na Alex Kazenga Dar es Salaam Wadau wa tasnia ya habari wanaiomba serikali kuitazama upya Sheria ya Habari huku wakipendekeza kuwapo kwa chombo kitakachosimamia tasnia hiyo. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amebainisha hayo hivi karibuni katika…

Watanzania tuchangamkie fursa mradi wa gesi asilia

Rais Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini Makubaliano ya Awali ya Mkataba wa Nchi Hodhi (HGA) Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (LNG Project). Makubaliano hayo kati ya serikali na kampuni za Shell na Equinor yametiwa saini Juni 11,…

Gari la Katibu Mkuu TALGWU kimeo

*Limenunuliwa kwa Sh milioni 180 *Lilipokatiwa bima nyaraka inaonyesha      limenunuliwa kwa Sh milioni 70   DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Gari analolitumia Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) Taifa, Rashid Mtima, kwa ajili ya shughuli…