Year: 2022
Mwelekeo mpya siasa wanukia
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mapendekezo ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa huenda yakafanikisha kuleta mwelekeo mpya wa mwenendo wa siasa za hapa nchini. Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan…
Benki yadaiwa kugeuka mumiani
*Yajipanga kuipiga mnada ‘nyumba ya Serikali’ *Ni kinyume cha vipengele vilivyowekwa kisheria *Mfanyabiashara adai mkopo wageuzwa ndoana DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nyumba iliyokuwa ikimilikiwa na serikali imo hatarini kupigwa mnada kwa kile kinachodaiwa kuwa mmiliki wake kushindwa kulipa…
Ofa ya Rais yapokewa tofauti
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Kauli ya ofa iliyotolewa wiki iliyopita na Rais Samia Suluhu Hassan kwa wapangaji wa Magomeni Kota imepokewa kwa mitazamo tofauti; JAMHURI limeambiwa. Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa nyumba za Magomeni Kota wiki…
Wanaharakati Afrika wakutana Dakar kuizungumzia Palestina
Na Nizar K Visram (Canada) Machi 10 hadi 12, mwaka huu wanaharakati kutoka nchi za Afrika wamekutana Dakar, Senegal. Hawa ni wawakilishi wa makundi kutoka Botswana, Cameroon, Cote d’Ivoire, DR Congo, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia, Tunisia, Zambia,…
Magufuli: Kiongozi mpenda maendeleo makubwa
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Mwaka 1995 Dk. John Pombe Magufuli aliamua kuingia katika duru za siasa na kugombea ubunge Jimbo la Biharamulo Mashariki mkoani Kagera. Agosti 23, 1995, Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ilitangaza majina…
Serikali, TFS kuzibadili nyanda kame
*Profesa Silayo apania kurejesha uoto wa asili Kanda ya Ziwa, huku akiifanya Dodoma kuwa ya kijani MAGU Na Joe Beda Wakala wa Huduma za Misitu nchini (TFS) umedhamiria kurejesha uoto katika maeneo ya nyanda kame (dry land areas) nchini, ikiwa…