Year: 2022
Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP wawajibike
Hakuna siri kwamba taifa linapita katika kipindi kigumu, cha kutisha na kusikitisha kikiacha maswali mengi yasiyo na majibu vichwani mwa Watanzania. Ndani ya mwezi mmoja au miwili hivi kumetokea matukio ya ajabu ajabu yanayotishia usalama wa raia na mali zao…
STEVE WONDER… Mkongwe mwenye ukwasi mkubwa
Tabora Na MoshyKiyungi Hoja kwamba ulemavu si tija na kwamba mlemavu akipewa nafasi anaweza, huenda ikachukuliwa kama mpya miongoni mwa jamii. Wapo walemavu kadhaa waliofanikiwa kimaisha na kuwa mfano wa kuigwa kwa jamii katika fani mbalimbali, ikiwamo muziki. Mmoja wapo…
Balaa Muhimbili
*Hospitali yakumbwa na upungufu mkubwa wa damu salama, wagonjwa hatarini *Ikiomba chupa 150 kutoka Mpango wa Damu Salama, inapewa 12 kwa siku *Mkurugenzi aomba Watanzania kuacha kasumba ya kuogopa kuchangia damu *Tatizo limeanzishwa na Wizara ya Afya kuagiza wagonjwa wawekewe…
RPC apuuza amri ya mahakama
Dar es Salaam Na Alex Kazenga Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi (RPC) Ilala, Deborah Magiligimba, anadaiwa kupuuza amri ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, JAMHURI linataarifu. Inadaiwa kuwa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imemuandikia barua RPC kumtaka…
Rais Samia, TANROADS okoa watu Dar – Morogoro
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nimesoma habari ya kuanza kwa mchakato wa ujenzi wa njia nne katika Barabara ya Morogoro. Ujenzi huu unaelezwa kuwa utaanzia Kibaha Maili Moja hadi Morogoro kwa urefu wa kilomita 158. Taarifa hizi zimetolewa na Mkuu…
Mbunge amnusuru diwani uhujumu uchumi
BUSEGA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Busega, Simon Songe, amemnusuru Diwani wa Mkula, Goodluck Nkalango, kupewa kesi ya uhujumu uchumi. Nkalango na viongozi kadhaa wa Kijiji cha Kijilishi wanadaiwa kutorosha fedha za umma takriban Sh milioni 7.8. Mkuu wa Wilaya…