Month: February 2024
Serikali yaweka mikakati kuhakikisha usalama wa mtoto mtandaoni
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar ea Salaam Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu imesema inakwenda kuweka Mkakati Madhubuti ikiwemo kufanya mapitio ya sheria na kanuni itakayokwenda kusaidia kudhibiti Ukatili wa watoto Mtandaoni. Ameyasema hayo leo Februari…
Majaliwa aongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu nishati safi ya kupikia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri kuhusu Nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko.
Kikwete: Changamoto Serikali Mtandao ziwekwe kwenye mpango mkakati wa taasisi
Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media, Arusha Miongoni mwa changamoto zilizowasilishwa katika kikao kazi cha nne cha Serikali Mtandao (e-AGA) ni mifumo ya TEHAMA kutowasiliana na kuendelea kuwapo kwa udurufu wa mifumo. Katika hotuba ya Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti…
Serikali yatimiza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika Lindi na Mtwara
📌 Mtambo wa Megawati 20 wawasili mkoani Mtwara 📌 Wabunge wapongeza Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Serikali imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara ambapo leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi…
Serikali yasaini mkataba wa umeme wa megawatt 49.5 kutibu kero ya umeme Kigoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati nchini Dkt ,Dotto Biteko ameshuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa mradi wa Uzalishaji umeme wa megawatt 49.5 kwa nguvu ya maji katika mto Malagalasi Mkoani Kigoma Utakaogharimu…
Katambi akabidhi ambulance, majiko 145 kwa makundi ya kijamii Shinyanga
Suzy Butondo,JamhuriMedia, Shinyanga Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Patrobas Katambi ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu amekabidhi gari la kubebea wagonjwa ‘ Ambulance’ na vitanda nane kwa ajili ya wagonjwa katika Hospitali…