Year: 2024
Kamanda wa Hezbollah auawa katika shambulizi la anga
JESHI la Israel limesema limemuua hivi leo kamanda wa kundi la wanamgambo la Hezbollah katika shambulio la anga kusini mwa Lebanon. Mwanamume huyo aliuawa karibu na mji wa pwani wa Tiro. Awali, Wizara ya Afya ya Lebanon ilitangaza kwamba mtu…
TIC yatoa semina kwa wafanyabiashara Ruvuma
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa semina elekezi kwa wafanyabiashara, wajasirimali na wawekezaji wa Mkoa wa Ruvuma ambayo imelenga kuwahamasisha wawekezaji kusajili biashara zao sambamba na kufahamu fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo ndani ya Mkoa wa Ruvuma na nchini kwa…
‘Kuna faida nyingi Tanzania kuwa mwenyekiti wa Troika SADC’
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Zimbambwe Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa kuchaguliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa,…
Rais Samia akabidhiwa Rasmi uenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama SADC
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Zimbabwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan leo ameshiriki mkutano wa 44 wa wakuu wa nchi na serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Africa (SADC) ambapo pia amekabidhiwa rasmi…
300 wafariki katika mlipuko wa kipindupindu Sudan
Shirika la Afya Duniani WHO linasema zaidi ya watu 300 wamefariki katika mlipuko wa kipindupindu nchini Sudan Mlipuko huo unafuatia mvua kubwa na mafuriko yaliotatiza huduma za afya na kuzusha hatari ya magonjwa mengine ya kuambukiza kama dengue na homa…
Madaktari nchini India wafanya mgomo wa kitaifa baada ya mmoja wao kubakwa na kuuawa
Madaktari nchini India leo wameanza mgomo wa kitaifa na kuchochea maandamano zaidi baada ya ubakaji na mauaji ya kikatili ya mwenzao ambayo yamesababisha hasira iliyoangazia suala sugu la unyanyasaji dhidi ya wanawake. Wanafunzi wanaosemea udaktari nchini India wafanya mgomo Jumamosi…