JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

‘Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha, maono’

MWANZA: Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha na maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi kwa siku za usoni. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema hayo leo wakati akifungua Kongamano la Kwanza la…

Afrika Mashariki Kukabiliwa na Malaria Sugu,

Wanasayansi duniani wameziomba Mamlaka za Afya barani Afrika kuchukua tahadhari dhidi ya malaria sugu ambayo inadaiwa kuwa mamilioni ya watu wako hatarini kuambukizwa. Taarifa zinasema kuwa viwango vya dawa vimeonekana kutofanya kazi katika baadhi ya maeneo kutoka chini ya asilimia…

Wapiga kura wapya zaidi ya milioni tano kuandikishwa

……………… Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya 5,586,433 wataandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Amesema kuwa wapiga kura hao ni…

Rais ataka Viongozi wa Kimila kujijengea Mvuto wa kuaminiwa na jamii

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan(Chifu Hangaya) ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuharakisha kukamilisha mwongozo wa utambuzi wa Viongozi wa Kimila(Machifu)utakao saidia Taasisi hiyo kujiendesha kwa kufuata Katiba…

Serikali yajipanga usambazaji umeme kwa kuweka mazingira wezeshi Mbinga

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia, Mbinga Serikali kupitia Wizara ya Nishati imejipanga katika kuweka mazingira wezeshi ya utendaji kazi kwa kuhakikisha kuwa huduma za umeme zinaenda vizuri kama zilivyopangwa na kupeleka magari ya kubebea nguzo kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo Wilaya ya Mbinga…

Katibu Tawala Songea atoa maagizo kwa kwa viongozi wa vijiji, kata

Na Cresensia Kapinga, JakhuriMedia,Madaba KATIBU Tawala wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mtela Mwampamba amewaagiza viongozi wa vijiji na kata kusimamia sheria ndogo ndogo zilizowekwa ili waweze kuepusha majanga ya uharibifu wa mazingira ikiwemo uchomaji moto misitu kinyume na taratibu…