Year: 2024
Wairan waishio nchini wapiga kura kumchagua Rais Iran
Na Dk Mohsen Maarefi, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAIRAN wanaoishi nchini wamepiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa rais mpya kwa kuhudhuria ubalozi wa Iran jijini Dar es Salaam. Uchaguzi huo wa muhula wa 14 wa urais wa Iran ulifanyika…
HELSB yazindua kampeni ya fichua ‘Kuwa Hero wa Madogo’
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Bodi ya Mikopo Tanzania (HELSB), imewaomba wananchi kuwafichua wanufaika wa mikopo walio na vipato na kazi ambao mpaka sasa wamekaidi kurejesha fedha hizo ili kusaidia wanavyuo wengine nao waunufaike. Ombi hilo limetolewa leo Juni 28,2024…
Serikali yatambua mchango WFP hususan katika hifadhi ya mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema inatambua mchango wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) hususan katika hifadhi ya mazingira nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa…
Mraibu aanzisha asasi kuikomboa jamii dhidi ya dawa za kulevya
*Said ni aliyekuwa mraibu kwa miaka 21. * Amgeukia Rais Samia, Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu kuzishika mkono asasi changa ili kuokoa waraibu hasa vijana Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMwdia, Pwani NACHUKIA dawa za kulevya, najutia kupoteza muda…
Serikali, wafanyabiashara waafikiana, TRA kusitisha kamata kamata
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Hatimaye Serikali imehitimisha mazungumzo baina yake na Jumuiya ya Wafanyabiashata nchini kwa kuafikiana kusimamia maazimio 15 huku ikitoa maagizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)kusitisha mara moja mazoezi yote ya kamata kamata pamoja na mengine…
Uongozi mpya NaCoNGO kuelekeza umakini wake kwenye vipaumbele vya utekelezaji
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Baraza la Taifa la mashirika yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) baada ya kufanya uchaguzi wake na kuwapata viongozi wapya, sasa limeelekeza umakini wake kwenye utekelezaji wa vipaumbele vyake vitakavyo saidia kukuza na kuyainua mashirika yasiyokuwa ya…