Year: 2024
LHRC : Serikali ipunguze gharama za uendeshaji nchi, maisha ya kifahari
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa rai kwa Serikali kupunguza gharama za uendeshaji wa nchi ikiwemo maisha ya kifahari kwa viongozi wa kitaifa huku wananchi wakilia ukali wa hali ngumu kutokana…
Waandamanaji Kenya waapa kurudi tena barabarani
Wandamanaji nchini Kenya wameapa kuendelea na maandamano yao kupinga nyongeza mpya za ushuru, siku moja tu baada ya polisi kufyatua risasi na kuwaua takriban watu watano. Watu wengine zaidi ya 100 walijeruhiwa pia walipovamia majengo ya bunge. Katibu Mkuu wa…
Uhuru Kenyatta awaomba viongozi kuwasikiliza wananchi
Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta, ametoa wito wa amani kufuatia maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha wa 2024 ambayo siku ya Jumanne yalikumbwa na matukio ya vurugu baada ya waandamanaji kuvamia Bunge la Taifa. Katika taarifa kwa vyombo…
Urusi yafungia matangazo vyombo 81 vya habari vya Ulaya
Urusi imetangaza kuzifungia vyombo vya habari 81 vya Ulaya kutangaza kwenye ardhi ya yake. Katika taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi iliyotolewa Jumanne orodha hiyo inajumuisha vituo 77 vya habari, magazeti, majarida na machapisho ya mtandaoni kutoka…
Muswada wa Fedha 2024; Bunge laidhinisha, wanajeshi kulinda amani Kenya
Bunge la Kenya limeidhinisha ombi la Baraza la Ulinzi la kutumiwa kwa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kutoa ulinzi kufuatia maandamano ya kupinga muswada wa Fedha kote nchini. Kulingana na Waraka wa Amri ya Ziada iliyopangwa Jumatano, Juni 26,…
Zaidi ya wagonjwa 160 wanapata matibabu Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta kufuatia maandamano
Zaidi ya wagonjwa 160 wanapokea matibabu katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta kufuatia maandamano ya jana ya kupinga ushuru. Kaimu mkuu wa upasuaji katika hospitali hiyo Dk Benjamin Wabwire anasema wagonjwa wengi waliletwa wakiwa na majeraha mbalimbali , sita walikuwa…