JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Teknolojia ya vizimba vya mamba yarejesha hali ya maisha ya kawaida Sengerema

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Sengerema Hali ya usalama wa maisha ya kila siku kwa wananchi waishio pembezoni mwa ziwa Viktoria wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza yarejea baada ya Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kujenga vizimba vya kudhibiti mamba….

Tanzania ina umeme wa kutosha kufanya shughuli za kiuchumi – Dk Biteko

📌 Asisitiza hakuna mgawo wa umeme 📌 Amshukuru Rais Samia kuiimarisha Sekta ya Nishati Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, kwa sasa nchi ina umeme wa kutosha kuwawezesha…

Mambo 10 makubwa aliyofanya Zuhura Yunus akiwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwezi Februari 2022, Zuhura Yunus alianza kazi rasmi kama Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo. Zuhura alipata uteuzi…

Biteko asisitiza nia yake ya kuchochea maendeleo Bukombe, asisitiza umuhimu wa elimu

📌 Dkt. Biteko awataka wazazi kupeleka watoto shule 📌 Daraja la mpakani kati ya Bugelenga na Mbogo kuanza kujengwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Mhe. Dkt. Doto Biteko…

TAWIRI yatoa ushauri elekezi uwekezaji sekta ya utalii maonesho Karibu – Kili Fair 2024

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) ni Miongoni mwa Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii zinazoshiriki maonesho ya Karibu KILI FAIR 2024 yanayoendelea katika viwanja vya Kisongo, Magereza Mkoani Arusha. Maonyesho…

Watuhumiwa 16 mbaroni kuhusika na vitendo vya kihalifu

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 16 kuhusika na vitendo vya kihalifu ikiwemo kupanga njama za kuiba, kuvunja nyumba huku wengine wakiuuza na kusafirisha dawa za kulevya. Akizungumza…