JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Simba dhidi ya Yanga ‘Kariakoo Derby’ kuchezwa Aprili 2024

NI rasmi Aprili 20, 2024 Yanga SC watakuwa wenyeji wa watani zao Simba SC katika muendelezo wa kinyang’anyira cha Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023-24. Taarifa iliyotolewa leo na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Bodi ya Ligi Kuu…

Makamu wa Rais ashiriki kumbukizi ya hayati Abeid Aman Karume

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika kumbukizi ya miaka 52 ya kifo chake tarehe…

Watuhumiwa 514 wakamatwa wakitorosha mifugo kwenda nchi jirani

Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo kwa kushirikiana na wananchi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakitorosha mifugo 514 kwenda nchi jirani huku wakitumia vibali vya kampuni isiyohusika na mifugo hiyo. Akitoa taarifa hiyo kamanda wa Polisi Kikosi cha…

Rais Dk Mwinyi aongoza kisomo cha Hitma kumuombea hayati Sheikh Abeid Amani Karume Zanzibar

WAZIRI Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar…

Timu ya madaktari bingwa watua Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMeda, Katavi Timu ya madaktari bingwa wabobezi wa upasuaji kutoka nchini Marekani imewasili mkoani Katavi kwa lengo la kutoa huduma za upasuaji bure kwa wagonjwa wanaotakiwa kufanyiwa upasuaji wa magonjwa mbalimbali. Timu hiyo ya wataalamu 18 wakiwemo…