Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji,  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji,  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo , Profesa Paramagamba  Kabudi ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 18, 20256. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)