Uongozi wa Gazeti la JAMHURI unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu JOHN SABI NZURYO kilichotokea Desemba 15, 2025 katika Hospitali ya Amana, Dar es Salaam.
Tunaendelea kufuatilia taratibu za msiba na maziko kwa familia, hivyo tutawajulisha kila hatua tutakayofikia.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.



