Waziri Mkuu akagua ujenzi wa shule mpya ya msingi Likong’o
JamhuriComments Off on Waziri Mkuu akagua ujenzi wa shule mpya ya msingi Likong’o
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Pendo Malavana ambaye ni msimamizi wa mardi wa ujenzi wa Shule ya Mpya ya Msingi Likong’o ambayo inajengwa kwa ushirikiano wa Mradi wa gesi wa LNG na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) alipokagua ujenzi wa shule hiyo katika kijiji cha Likong’o wilayani Lindi, Desemba 20, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi Likong’o ambayo inajengwa kwa ushirikiano wa Mradi wa gesi wa LNG na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) alipokagua ujenzi wa shule hiyo wilayani Lindi, Desemba 20, 2025. Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Salome Makamba na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi Likong’o ambayo inajengwa kwa ushirikiano wa Mradi wa gesi wa LNG na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) alipokagua ujenzi wa shule hiyo wilayani Lindi, Desemba 20, 2025. Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Salome Makamba na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipozungumza baada ya kukagua ujenzi wa Shule ya Mpya ya Msingi Likong’o ambayo inajengwa kwa ushirikiano wa Mradi wa gesi wa LNG na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) alipokagua ujenzi wa shule hiyo wilayani Lindi, Desemba 20, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi Likong’o ambayo inajengwa kwa ushirikiano wa Mradi wa gesi wa LNG na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) alipokagua ujenzi wa shule hiyo wilayani Lindi, Desemba 20, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)