Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Marais mbalimbali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) aliposhiriki Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Leo Machi 07,2026.