Rais Chapo afungua Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, jijini Dar es Salaam
JamhuriComments Off on Rais Chapo afungua Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Tuzo aliyokabidhiwa kwenye hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Julai, 2026.. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mheshimiwa Daniel Francisco Chapo katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mheshimiwa Daniel Francisco Chapo akihutubia kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Heshima kutoka kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga kwenye hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mheshimiwa Daniel Francisco Chapo wakati wakitembelea mabanda ya Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Julai, 2026.