Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Diaspora wa Kiafrika (ADDI) Balozi Dkt. Arikana Chihombori-Quao, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 24 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Diaspora wa Kiafrika (ADDI) Balozi Dkt. Arikana Chihombori-Quao baada ya mazungumzo, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 24 Agosti, 2026.