Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi ameungana na wananchi mbalimbali kufanya mazoezi ya asubuhi katika barabara ya fukwe za Coco beach kuelekea Daraja la Tanzanite, Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 19 Septemba 2026.