Rais Dk Samia akikabidhi vikombe kwa Manahodha wa Timu zilizofanya vizuri
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akikabidhi vikombe kwa Manahodha wa Timu zilizofanya vizuri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi vikombe kwa Manahodha wa Timu zilizofanya vizuri katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi vikombe kwa Manahodha wa Timu zilizofanya vizuri katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025.