Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha kuchakata pamba cha Shree Rajendra Agro Industries Limited kilichopo Maswa mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala iliyopo wilayani  Itilima mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.