Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu pamoja na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya ufunguzi wa Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni, 2025.