Rais Samia alipowasili katika uzinduzi wa Dira 2050 Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Samia alipowasili katika uzinduzi wa Dira 2050 Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma tayari kwa Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17,2025.