JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

DCEA: Wanaotangaza au kusifia matumizi ya Dawa za Kulevya kukiona

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imetoa onyo dhidi ya watu wote wanaotangaza, kuhamasisha au kusifia matumizi ya dawa za kulevya kupitia nyimbo, mavazi na njia nyingine yoyote ya…

PPRA yawahamasisha wasanii kujisajili katika mfumo wa NeST

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imewahamasisha wasanii na Watanzania kwa ujumla kujisajili kwenye mfumo wa kielektroniki wa ununuzi wa umma (NeST) ili kunufaika na zabuni za asilimia 30 zilizotengwa kwa…

Rais Samia kuhudhuria sherehe ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru Umoja wa Visiwa vya Comoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia anasafiri kwenda Umoja…

Hamas yakaribisha mazungumzo ya kusitisha vita

Shirika la ulinzi wa raia la Gaza limetangaza kuwa operesheni za kijeshi za Israel zimesababisha vifo vya watu 32 katika Ukanda wa Gaza. Kwa mujibu wa msemaji wa shirika hilo jana, Mahmud Bassal, watu wanane wameuawa kwenye mashambulizi mawili yaliyolenga…

Rais Ruto kujenga kanisa kubwa Ikulu

Rais wa Kenya William Ruto amesema anajenga kanisa katika Ikulu jijini Nairobi ambalo atagharamia mwenyewe – na kuongeza kuwa hana sababu yoyote ya kuomba msamaha. “Sitamwomba mtu yeyote msamaha kwa kujenga kanisa. Shetani anaweza kuwa na hasira na anaweza kufanya…