JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Endelezeni mila zinazotuunganisha kusaidia kusukuma maendeleo- Sendeka

Na Mary Margwe, JamhuriMedia,Simanjiro Wananchi wa jamii ya Kimasai wametakiwa kuendeleza mila zinazowaunganisha kuwa wamoja na zile ambazo zinasaidia kusukuma Maendeleo chanya na kuwaletea Uchumi imara kwa Taifa. Hayo yamebainishwa Jana na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka…

Walemavu wa viungo wanaweza kuchangia uchumi wa Taifa

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia,Geita “Kulemaa viungo siyo kulemaa akili” Maneno haya yana akisi wazi kuwa unaweza kuwa na udhaifu wa viungo au kukosekana kwa baadhi ya viungo vya mwili wako lakini bado ukawa na akili ya kukusadia kuyafikia malengo yako…

Walemavu wa viungo wanawezs kuchangia uchumi wa taifa

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Geita “Kulemaa viungo siyo kulemaa akili” Maneno haya yana akisi wazi kuwa unaweza kuwa na udhaifu wa viungo au kukosekana kwa baadhi ya viungo vya mwili wako lakini bado ukawa na akili ya kukusadia kuyafikia malengo…

Franone Mining wasaidia vyakula vya mil.31/- waathirika wa mafuriko Simanjiro

#Kaya 55 zakosa mahali pa kuishi Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mwekezaji mzawa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Franone Mining inayomiliki Kitalu C Onesmo Anderson Mbise wa machimbo ya Tanzanite katika Mji Mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ametoa…

Urejeshaji hali Hanang waendelea

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama akiongoza zoezi ufunguaji wa barabara na uondoaji wa tope katika Mji wa katesh Halmashauri ya Hanang’ Wananchi wamepokea kwa muitikio chanya zoezi la kuhifadhi waathirika wa maporomoko…

Waziri Mbarawa aridhishwa na majaribio ya kichwa cha treni ya umeme

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Waziri wa Uchukuzi Professor Makame Mbarawa afanya ziara fupi ya kuona majaribio ya kichwa cha treni ya umeme cha reli ya kiwango cha kimataifa – SGR kilichopo kwenye stesheni ya Pugu jijini Dar es Salaam…