JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia atoa bilioni 24 kutekeleza miradi ya maendeleo Namtumbo

๐Ÿ“Œ Miradi ya kilimo, afya, elimu, imeme na maji yaguswa ๐Ÿ“Œ Kapinga asema maendeleo yaliyofanyika yanaonekana wazi; hayahitaji tochi ๐Ÿ“Œ Aeleza jinsi Ilani ya CCM ilivyotekelezwa kwa mafanikio kupitia usambazaji umeme vijijini ๐Ÿ“Œ Azindua kampeni za uchaguzi wa Serikali za…

Kenya yafuta ushirikiano na Kampuni ya India ya Adani Group

Rais wa Kenya, William Ruto, ametangaza kufuta mikataba ya ubia kati ya serikali na kampuni ya India ya Adani Group, ikiwemo ule wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) na mamlaka ya umeme. Rais Ruto alitaja madai…

Urusi yaipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta

Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza….

Netanyau aikosoa ICC kutoa warranty ya kukamatwa

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelaani uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu (ICC) wa kutoa waranti ya kukamatwa kwake akisema ni โ€œchukiโ€ dhidi yake na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant. Alisema ICC inawashtumu…

Rais Mwinyi awasili uwanja wa ndege wa kimataifa akitokea Zimbambwe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa naย  Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimia na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana…

NLD wazindua rasmi kampeni Handeni, Doyo atoa wito kufanya siasa za kistarabu

Na Oscar Assenga,Handeni Katibu Mkuu wa Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amezindua rasmi kampeni za wagombea wa chama hicho kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kata ya Kwedukwazu wilayani Handeni huku akitoa wito kwa viongozi wa chama hicho…