JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Biteko aiagiza TANESCO kukata umeme kwa wadaiwa sugu

📌Akemea vikali wahujumu wa miundombinu ya umeme, Asema Serikali iko kazini, Itawashughulikia 📌Ataka TANESCO kusikiliza na kujibu Wateja kwa haraka 📌Asisitiza utunzaji wa Mazingira Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza…

Dk Biteko atunuku vyeti kwa wahitimu 439 Chuo cha Mweka

📌 Awataka kuchukia rushwa na kulinda Maliasili kwa Wivu Mkubwa 📌Apongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa usimamizi wa Sekta Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametunuku vyeti vya ngazi…

Serikali kujenga daraja la kisasa Maretadu-Garkawe

Wananchi wa kata za Maretadu na Maghang Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, wameishukuru Serikali kwa kuanza ujenzi wa Daraja la Maretadu-Garkawe wakisema kukamilika kwa daraja hilo kutarahisisha mawasiliano na usafirishaji. Wakizungumza kwenye ziara ya mkuu wa Mkoa wa…

Mbarawa atoa maagizo kwa mkandarasi Bukoba

KAGERA: Waziri wa uchukuzi Profesa ,Makame Mbarawa amemtaka mkandarasi anayetekekeza mradi wa upanuzi wa bandari za Kemondo na Bukoba zilizopo wilayani Bukoba mkoani Kagera kuongeza Kasi ya ujenzi wa mradi huo ili kufikia mwezi Mei mwakani. Profesa Mbarawa aliongozana na…

Jando, unyago vyachangia ukatili wa kijinsia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara MKOA wa Mtwara umetajwa kuwa miongoni mwa mikoa inayochangia kwa kiasi kubwa ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto wa kike hali inayohusishwa wa utekelezaji wa mila za jando na unyago. Akizungumza leo mkoani Mtwara katika…