Author: Jamhuri
Picha: Rais Samia ‘Kwaherini Tabora’
Habari Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amekamilisha ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi katika mkoa wa Tabora leo Oktoba 19, 2023.
Kanuni mpya kusimamia ununuzi tiketi mtandao, zanukua.
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imesema kuwa inaandaa Kanuni mahususi kwa ajili ya kusimamia ununuzi wa tiketi za abiria kwa njia ya mtandao ikiwa ni pamoja na kuweka masharti kwa watoa…
Watoa huduma za Afya Muhimbili zingatieni sheria, kanuni, miongozo na maadili.
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar Es Salaam. Watoa huduma za Afya wameaswa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na miiko ya maadili wanapotoa huduma kwa wananchi kwani Sekta ya Afya inaoongozwa na nyenzo hizo ili kumlinda mtoa huduma na anayehudumiwa. Hayo…
Kyela wasifiwa matumizi ya biogesi
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Mbeya. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis amefanya ziara ya kukagua Mradi wa Kuhifadhi Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa katika Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Katika ziara…
Simbachawene apigia chapuo watumishi wachapakazi kutambuliwa.
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Tanga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ametoa wito kwa Waajiri na Maafisa Utumishi katika taasisi za umma kuwatambua watumishi wenye uwezo kiutendaji ili wapate motisha ya kuendelea…
EU na Tanzania kuingia mkataba wa ushirikiano katika tafiti za kina.
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Cape Town Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amewakaribisha Wawekezaji kuja Tanzania kuwekeza katika Utafiti, Uchimbaji pamoja kujenga Viwanda vya kusafishia Madini, ili kuongeza thamani kabla ya kusafirishwa kwa ajili ya kuuzwa nje ya…