Tumepataje amani, tunaidumishaje?
Awali ya yote napenda nichukue fursa hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ambaye kwa mapenzi yake anatujaalia afya njema. Si kwamba sisi tunastahili kuliko waliokufa, bali sisi kuwapo kwetu hadi leo ni kwa rehema na neema yake tu Mwenyezi Mungu. Kutokana na hali hiyo, tunaendelea kupumua na kuyafanya yote tunayofanya kila siku. Hivyo ni lazima…