Author: Jamhuri
Rais Dk. Samia azindua tawi la 230 NMB, Kizimkazi Festival yatikisika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana Agosti 30, amezindua Tawi la Benki ya NMB Paje, Mkoa wa Kusini Unguja, hapa Zanzibar, uzinduzi unaoendelea kupanua mtandao wa matawi ya benki…
Polisi:Mnaomiliki silaha haramu zisalimisheni
Tanzania miongoni mwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zilizosaini na kuridhia mikataba, Itifaki, Maazimio na Makubaliano mbalimbali ya kuzuia uzagaaji wa silaha ndogo na nyepesi. Moja ya makubaliano hayo ni yaliyofanyika mwezi Julai 2018 kuhusu udhibiti wa uzagaaji wa…
Rais Samia aanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu, aifuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
Na Jacquiline Mrisho, JamhuriMedia, MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu ambapo katika mabadiliko hayo, ameanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya…
Daktari feki akamatwa Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari. Mkuu wa Idara ya Ulinzi Bw. Alfred Mwaluko amesema kuwa…