Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
June 26, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia aeleza Falsafa ya R Nne (4Rs) anayoitumia kuongoza katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi Kunduchi
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia aeleza Falsafa ya R Nne (4Rs) anayoitumia kuongoza katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi Kunduchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa kwa heshima na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wanadhimu Waandamizi Waelekezi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Mhadhara wenye Mada ya Falsafa ya R Nne (4Rs) ambayo anaitumia katika kuongoza Serikali ya Awamu ya Sita. Mhadhara huo umefanyika katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024. Falsafa yake ya R4 ni: Reconciliation (Maridhiano), Resilience (Ustahimilivu), Reforms (Mageuzi) and Rebuilding (Kujenga upya).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wanadhimu Wakuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi- Tanzania kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2024.
Post Views:
222
Previous Post
MISA yaomba kupunguzwa ada leseni vyombo vya habari vya mtandaoni
Next Post
TMA yatoa angalizo ya hali ya hewa mbaya kwa siku tano
Waandishi watatu wa habari wa Lebanon wauawa shambulizi la Israel
Wakuu wa Polisi EAC wajadili uhalifu uliovuka mipaka
Rais Dkt. Samia ateta na Baraza la Mawaziri Zanzibar
Jenerali Mkunda awavisha nishani mbalimbali majenerali Zanzibar
Bilioni 15 kusambaza umeme kwenye vitongoji 105 Simiyu
Habari mpya
Waandishi watatu wa habari wa Lebanon wauawa shambulizi la Israel
Wakuu wa Polisi EAC wajadili uhalifu uliovuka mipaka
Rais Dkt. Samia ateta na Baraza la Mawaziri Zanzibar
Jenerali Mkunda awavisha nishani mbalimbali majenerali Zanzibar
Bilioni 15 kusambaza umeme kwenye vitongoji 105 Simiyu
Bwana harusi acharuka
Chad, Jamhuri ya Afrika ya Kati wataka kuunda kikosi mseto cha usalama mpakani
Kuelekea Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2024,
Injinia Hersi anyakua tuzo Afrika
Ujenzi bomba la mafuta ghafi la EACOP wafikia asilimia 43.5
Wadau wa kisekta watakiwa kukabiliana na athari za mvua za msimu 2024/25
DRC: M23 wadhibiti tena mji wa Kalembe, mashariki mwa nchi
Samia Kalamu Awards yasogezwa mbele hadi Oktoba 30
Bashungwa amkalia kooni mkandarasi CRSG anayetekeleza ujenzi wa barabara Nyamwage – Utete
Shule ya Kata yaweka historia katika TEHAMA