JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yanga yadhamiria kubeba makombe

Timu ya Yanga imedhamiria kuchukua makombe yote manne msimu huu baada ya kuichapa bao 1-0 Singida Big Stars na kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) mchezo ambao ulipigwa kwenye uwanja wa Liti Mjini Singida. Yanga Sc wapo…

NHC, ZHC kuondoa changamoto za makazi bora

……,……………………………… Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angellina Mabula amesema kuwa uwepo wa makubaliano ya mashirikiano baina ya Shirika la Nyumba la taifa (NHC) na lile la Zanzibar (ZHC)  utasaidia kuondoa changamoto mbalimbali…

TAWA yabainisha jitiada za Serikali kupunguza changamoto ya wanyamapori wakali

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema kufuatia changamoto ya Wanyamapori Wakali na Waharibifu inayokabili Wilaya ya Mvomero, Serikali imechukua hatua mbalimbali mahsusi katika kuhakikisha inapunguza changamoto hiyo kwa wananchi. Hayo yamesemwa Mei 19, 2023 Wilayani Mvomero na Mhifadhi…

Shaib: Watanzania wenye uwezo wa kifedha wekezeni na kujenga viwanda

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2023 ,Abdallah Shaib ametoa rai kwa Watanzania wenye uwezo wa kifedha, kutumia fursa ya kuwekeza na kujenga viwanda ili kuongeza ajira na kuinua uchumi na pato…

Serikali kuunganisha wilaya zote na mikoa kwa lami

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema katika kuhakikisha uchumi jumuishi unafikiwa kwa watanzania wengi Serikali imedhamiria kuziunganisha wilaya zote nchini na makao makuu ya mikoa kwa barabara za lami. Amesema hayo mjini Haydom wakati akishuhudia utiaji saini wa…