JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Global Fund kuendelea kushirikiana na Tanzania kufikisha huduma bora za afya nchini

GENEVA, USWISI Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Rasilimali Fedha wa Global Fund Bi. Ada Faye katika kikao kilichofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Mfuko huo zilizopo Geneva, Uswisi. Lengo la mazungumzo hayo…

Serikali yasikiliza kilio cha waliokuwa wafanyakazi wa Tanzania Plantation LTD

Na Mwandishi Wetu, Arumeru Serikali imesikiliza kilio cha waliokuwa wafanyakazi katika shamba la Tanzania Plantation lilipo wilaya za Arusha na Arumeru mkoa wa Arusha kwa kuwapatia maeneo kwa ajili ya kujenga makazi, kilimo pamoja na ufugaji. Akizungumza na wananchi wa…

Mbunifu wa mavazi azindua tai kirungu

Na Mwandishi Wetu, Mbunifu wa mavazi nchini mwenye kufanya kazi za Sanaa ya ubunifu wa mavazi, Didas Katona akifahamika zaidi kama ‘Katona Kashona’, anatarajia kuzindua Tai kirungu ((Bow Tie), tukio litakalofanyika Agosti 4, ukumbi wa Club The Marz zamani Nyumbani…

Tume ya Ushindani yapata mafanikio lukuki

Na Immaculate Makilika- MAELEZO Tume ya Ushindani (FCC) imeendelea kupata mafanikio katika kutekeleza lengo lake kuu la kuongeza ufanisi katika uzalishaji, usambazaji na ugavi wa bidhaa na huduma katika kuhakikisha mazingira sawa ya ushindani wa soko baada ya nchi kuondokana…

DCEA yateketeza hekari 489, yaendesha operesheni kwa siku nane mfululizo Moro

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo Vingine vya Ulinzi na Usalama wakiwemo JKT Ruvu imefanya operesheni ya siku nane mfululizo mkoani Morogoro katika wilaya za Morogoro, Morogoro Vijijini na Mvomero…

Ofisi ya Makamu wa Rais yawakaribisha wadau, wananchi Nanenane Mbeya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbeya Ofisi ya Makamu wa Rais imeungana na Wizara, Idara, Wakala na Taasisi za Umma na Binafsi katika kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. Maadhimisho hayo…