Author: Jamhuri
Prof: Mkumbo aziagiza bodi za taasisi za Serikali kuleta matokeo chanya
Na: Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Kibaha WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Raisi, Mipango na Uwekezaji, Professa Kitila Mkumbo, ameagiza Bodi zinazowakilisha Serikali kwenye mashirika zenye hisa chache kusimamia kwa ukamilifu mashirika hayo kwa maslahi mapana ya taifa. Prof. Mkumbo ametoa maelekezo…
Siku 1095, Rais Samia madarakani na maajabu sekta ya elimu
Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Wanafalsafa wengi wamesema kuhusu elimu; Wapo waliosema elimu ni funguo wa maisha, wengine wakaongeza elimu ni Maarifa, wengine pia wakanena elimu ni Bahari. Mjadala wa elimu ni bahari ni mpana sana ukimaanisha utajiri mkubwa unaopatikana…
Makarani waongozaji wa uchaguzi wafundwa Kibaha
Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Ikiwa imesalia siku tatu tu kabla ya Uchaguzi Mdogo wa udiwani Kata ya Msangani Jimbo la Kibaha Mjini ambao unatarijiwa kufanyika Jumatano Machi 20 ,2024 makarani waongozaji wamepata mafunzo. Mafunzo hayo yanetolewa leo Machi 16,…
Wananchi bonde la mto Rufiji wapewa tahadhari
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewataka wananchi walioweka makazi na kufanya shughuli za kilimo katika bonde la mto Rufiji kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maji yanayoongezeka katika mto huo. Mkuu wa Mkoa wa…





