Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Menejent ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, Mei 07, 2024, Bungeni jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa, Mei 07, 2024, Bungeni jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri