JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Utafiti wa maharage waipa taasisi ya Kenya ushindi, tuzo ya chakula

Na Alex Kazenga, JAMHURIMEDIA Dar es Salaam Utafiti wa mbegu za maharage yaliyoboreshwa umeipa ushindi taasisi ya Kenya katika Tuzo ya Chakula Afrika (Africa Food Prize-2023) inayotolewa kila mwaka. Mwenyekiti wa kamati ya AFP, Dk. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa…

Tanzania yapania kilimo kuchangia pakubwa, pato la taifa ifikapo 2030

Na Alex Kazenga Jamhuri Media, Dar es SalaamIfikapo 2030 serikali imepania asilimia 10 ya pato la taifa itokane na uzalishaji unaofanyika kwenye kilimo. Rais Samia Suluhu Hassan, amebainisha nia hiyo leo Septemba 07, 2023 wakati akiwahutubia vijana waliohudhuria moja ya…

Katibu Mkuu kiongozi atembelea mradi wa JNHPP, asema Watanzania wanahitaji umeme

Na Zuena Msuya, JamhuriMedia, Pwani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, amesema kuwa watanzania wanahitaji kupata huduma ya umeme wa uhakika na kwamba ameridhishwa na kazi kubwa ya utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP). Balozi…

Tanzania, Norwaya zasaini makubaliano kukabili mabadiliko Tabiachi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Tanzania imenufaika na shilingi bilioni 7.3 kutoka Serikali ya Norway kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na inayotekelezwa nchini. Hayo yamejiri baada ya Serikali hizo mbili…

Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), laweka mkazo uwekezaji maghala ya kisasa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), Godfrey Malekano amesema kuwa watendelea kuimarisha mifumo katika utendajikazi wa taasisi hiyo ili kuongeza mchango katika kuchochea uchumi wa Tanzania. Ameyasema hayo leo Septemba 6,2023 jijini Dar es…