Author: Jamhuri
Waziri Mkuu atoa agizo kwa Naibu Waziri Mkuu Biteko
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko aendelee kushughulikia suala la changamoto ya upatikanaji wa nishati ya mafuta katika maeneo mbalimbali nchini. “…Watanzania wapate hii huduma, upatikanaji huu ni muhimu kuhusisha taasisi…
Profesa UDSM awapiga msasa walimu shule za St Mary’s
Na Mwandishi Wetu MHADHIRI wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Goodluck Urassa amesema ili shule ziweze kufanya vizuri kitaaluma, walimu wanapaswa kufanya kazi yao kama sehemu ya biashara, na kuongeza ubunifu. Profesa Urassa, aliyasema hayo jana jijini Dar…
Spinel ya Mahenge ya lulu Thailand
Bei yake kwa Sasa Yatajwa ni Mara 10 Zaidi ya Tanzanite Na Wizara ya Madini – Bangkok Imeelezwa kuwa Madini ya Vito aina ya Spinel yanayochimbwa Mahenge Tanzania ni miongoni mwa bidhaa inayotafutwa kwa kiasi kikubwa na Wanunuzi na Wauzaji…
Tanzania yakabiliwa na upungufu wa walimu wa somo la hisabati
Tanzania inakabiliwa na upungufu wa walimu wa somo la hisabati katika ngazi zote hali inayochangia kuendelea kuwepo kwa ufaulu mdogo katika somo hilo. Hayo yamesemwa jijini Arusha na Mwenyekiti wa Chama cha Hisabati Tanzania (CHAHITA), Betinasia Manyama wakati akizungumza katika…
Kayombo: Kibaha yajidhatiti kukabiliana na ukatili wa kijinsi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Halmashauri ya Mji Kibaha ,mkoani Pwani imeanza utekelezaji wa mkakati kabambe wa kutokomeza ukatili wa kijinsia ili kutoa fursa kwa jamii kushiriki kikamilifu shughuli za uzalishaji kujipatia kipato cha familia na Taifa kwa ujumla. Mkuu wa…
‘Jamii yatakiwa kuzingatia usawa wa kijinsi katika maendeleo Pwani’
JAMII Wilayani Kibaha , mkoani Pwani imetakiwa kuzingatia usawa wa kijinsia kwenye shughuli za maendeleo ili kuwe na haki sawa. Hayo yalisemwa Mjini Kibaha na Ofisa Maendeleo ya Jamii kitengo cha jinsia wa Halmashauri ya Mji Kibaha, Maria Nkangali wakati…