JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ndomba aishauri jamii kutumia bidhaa zinazotengenezwa nchini

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Jamii imeshauriwa kutumia bidhaa zinazotengenezwa ndani ya nchi ili kuimarisha viwanda na kujenga uchumi wa nchi badala ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Wito huo umetolewa jana na Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya…

Katibu Mkuu nishati afanya mazungumzo na mwakilishi mkazi wa IMF

Teresia Mhagama na Godfrey Mwemezi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) nchini Tanzania, Jens Reinke na watendaji wengine wa Shirika hilo ambapo kikao…

Serikali yakabidhi eneo la ujenzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Mkandarasi ambaye ni CRJE (East Africa) Ltd na Mshauri Elekezi Aru Built Environment…

Tume ya haki za binadamu yakamilisha uchunguzi dhidi ya kifo cha mwanafunzi UDOM

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Hatimaye Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)i mekamilisha uchunguzi wake huru kuhusu kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Nusura Abdallah na kueleza kuwa hakihusiani na ajali iliyotokea usiku wa…

Vituo vya utayari Pwani vyaleta mafanikio kwa watoto wa wafugaji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mazingira ya elimu yanafaa kuboreshwa na kuwa na miundombinu rafiki ,kuanzia Ngazi ya awali ili kufikia safari ya elimu ya msingi hadi ngazi za vyuo vikuu. Hatua hii ni njema kwakuwa mafanikio ya watu wengi…